Star wa Bongo flava Peter Msechu akiimba kwenye uzinduzi wa audio ya John Lisu (Mtakatifu) uliofanyika CCC Upanga. Peter Msechu alikua mgeni mwalikwa katika uzinduzi huo.